Error loading page.
Try refreshing the page. If that doesn't work, there may be a network issue, and you can use our self test page to see what's preventing the page from loading.
Learn more about possible network issues or contact support for more help.
Title details for Mnadhifishaji Tukio la 3 by Inger Gammelgaard Madsen - Available

Mnadhifishaji Tukio la 3

Audiobook
Bertram anaogopa kuenda kwa polisi kuwaambia kuhusu kile alichokipata kwenye jaketi aliyoiba kwani yeye ni mhalifu anayesakwa na hataki jambo lolote linalihusiana na utekelezaji wa sheria. Jioni moja anajaribu kupiga simu bila kujitambulisha huku akiwa amelewa na baada ya kuvuta sigara kadhaa, ila polisi wanakataa kumuamini. Baadaye wakati Bertram anagundua kuwa maisha ya mama yake yamo hatarini, anajaribu kumuonya ila pia mama yake hamuamini. Bertram anaanza kumfuata mama yake na kutambua kuwa anakutana na mwanamume ambaye Bertram hamfahamu. Wakati Bertram anamuuliza mwanamume yule ni nani, mama yake hatimaye anakubali kuwa yule ni mpenzi wake na kuwa wanapanga kuondoka katika eneo lile na kuanza maisha mapya pamoja. Bertram anaamua kupekua ili kujua anapoishi mwanamume huyu, na kuvunja nyumba na kuingia ili kugundua yale atakayoweza kuhusu mwanamume huyu. Anapoangalia vitu vya mwanamume huyu, anapata mkusanyiko wa pasipoti ghushi, na picha ya mwanamume yule akiwa amevalia jaketi ile ambayo Bertram alikuwa ameiba. The Cleaner ni mchezo wa kuigiza wa kihalifu wenye matukio sita.

Formats

  • OverDrive Listen audiobook

Languages

  • Swahili